Taarifa Mpya za Kuongezeka kwa Wagonjwa wa Corona December 2023

1 Min Read

Taarifa Mpya za Kuongezeka kwa Wagonjwa wa Corona December 2023

Taarifa Mpya kutoka Wizara ya Afya kuhusu Corona Virus, Wizara ya afya imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuongezekeka kwa magonjwa ya mfumo wa hewa. Advice for the public: Avoid crowds and close contact, Wear a properly fitted mask when physical distancing is not possible and in poorly ventilated settings, Clean your hands frequently with alcohol-based hand rub or soap and water.

Taarifa Mpya za Kuongezeka kwa Wagonjwa wa Corona December 2023

Taarifa Mpya za Kuongezeka kwa Wagonjwa wa Corona December 2023

How to Protect Yourself and Others

a. Kutoshika mikono ikiwa sio lazima

b. Kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni

c. Kuzingatia usafi binafsi na mazingira

d. Kufunika pua na mdomo wakati wa kupiga chafya au kukohoa na ikihitajika vaa barakoa.

e. Kama hujachanja, nenda kachanje.

TAGGED:
Share This Article
Leave a comment

You cannot copy content of this page