Kundi la Taifa Stars AFCON 2023/2024

1 Min Read

Kundi la Taifa Stars AFCON 2023/2024

Kundi la Tanzania AFCON 2023-24, Timu zitakazocheza na Tanzania AFCON 2023/2024. Tanzania’s national team (Taifa Stars) group stage opponents ahead of the 2024 Africa Cup of Nations (AFCON). Tanzania 2023/2024 AFCON Final Draw. Timu zilizopangwa group moja na Tanzania AFCON 2023/2024.

Kundi la Taifa Stars AFCON 2023/2024

Tanzania imepangwa Kundi F na Morocco, Congo DR pamoja na Zambia na mechi zao zitachezwa katika Mji wa San-Pedro Ivory Coast umbali wa Kilometa 337 kwa gari kutokea mji Mkuu wa nchi hiyo Abidjan.

Standings provided by Sofascore
TAGGED:
Share This Article
Leave a comment

You cannot copy content of this page