Jinsi ya kupata leseni ya biashara online Tanzania

3 Min Read

Jinsi ya kupata leseni ya biashara online Tanzania

The business license is currently issued online in Tanzania. Visit the TAUSI system to get a license online, you can also go to the offices of District Councils, Municipalities, Cities or Towns and you will be given the procedure to get business license. Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara Mtandaoni, Maombi ya leseni ya biashara Online, leseni ya biashara online bure

Requirements for Getting a Tanzania Business License

To be issued a license, any entity must have:

 • Obtained a Commercial Premise by Owning or Renting a Premises
 • Apply to the Business Registration and Licensing Agency to register a business or company name (BRELA).
 • Obtain a Tax Identification Number (TIN) from TRA (Tanzania Revenue Authority).
 • Obtain a permit to operate in the sector by registering with the Sector Ministry/Agency.
 • Apply for a Business License through the Ministry of Industry, Trade, and Investment (MITI) of the LGAs
 • Pay the Business License Fee based on the kind of business through the bank.

STEPS: Jinsi ya kupata leseni ya biashara

Ili kupata leseni ya biashara muombaji:-

1. Kujaza fomu ya maombi ya biashara ambayo hupatikana katika halmashauri husika

2. Kuhakikisha nyaraka zote muhimu zinazohitajika ili kuweza kupata leseni yako mapema. Nyaraka hizo ni kama vile ati ya utakaso wa mlipa kodi (tax clearance certificate) kutoka TRA

3. heti cha usajili wa kampuni, katiba ya kampuni. (kwa leseni za makumpuni)

4. Mkataba wa kodi ya pango kama sehemu ya biashara umepanga

5. Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN)

6. yeti kutoka katika mamlaka husika kama TCRA(kwa leseni za mawasiliano),TFDA na TBS (kwa  vyakula na dawa), EWURA (kwa uagizaji na usambazaji mafuta)

Nyaraka zote zinazo hitajika ziambatanishwe pamoja na fomu ya maombi

 • Baada ya kukamilisha nyaraka zote mteja atapewa bili (invoice)kulingana na aina ya biashara yake na kwenda kulipia benki
 • Mchakato hukamilishwa kwa mteja kuchukua leseni yake na kupewa maelezo/ elimu ya uendeshaji biashara

Kumbuka

 • Leseni ya biashara hulipwa kila baada ya mwaka mmoja toka siku imelipiwa.
 • Leseni ya biashara lazima itumike kwa biashara na mahali ilipoombwa tu
 • Mfanyabiashara mmoja anaweza kuwa na leseni zaidi ya moja kulingana na idadi ya biashara alizonazo
 • Viwango vya kulipia leseni ya biashara unaweza kuvipata mtandaoni kwa kutafuta sheria ya fedha na 2 ya mwaka 2014 (finance Act no. 2 of 2014)
TAGGED:
Share This Article
Leave a comment

You cannot copy content of this page