Ajira Mpya 23000 TAMISEMI Ualimu na Afya 2024

1 Min Read

Ajira Mpya 23000 TAMISEMI Ualimu na Afya 2024

Serikali kutoa ajira mpya 23, 000 TAMISEMI Kada ya Afya na Ualimu 2024. Minister of State Office of the President Regional Administration and Local Government (OR-TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa has said that the government expects to provide 23,000 jobs for Teachers and Health Officers soon where the ministry has already got the permission to provide those jobs vacancies.

Serikali imetoa kibali kwa TAMISEMI kuajiri walimu na wataalamu wa afya zaidi ya 23,000 mwezi januari/februari. Mheshimiwa Mohamed mchengerwa .amesema kuwa pamoja na mambo mengine ni kuwa serikali inatarajia kuwapandisha madaraja walimu zaidi ya laki mbili lakini pia kuwalipa stahiki zao walimu wapya.

TAGGED:
Share This Article
Leave a comment

You cannot copy content of this page